الوصفNanjala 073 Shlumbergera Cactus in Basket.jpg
English: Underestimated for its ethnic beauty in Kenya, the locally available raffia basket is a common household item used for dustbins, laundry and grain storage in Kenya. These are expertly woven by the Turkana of Northern Kenya and sold for export or at the Maasai Market curio shops in Nairobi and other urban areas. Here, is my 'waste basket' that was used as our brands photography to shoot a unique planter for the Christmas Cactus also known as the Schlumbergera Cactus. Image was shot for marketing and adverting purposes for the sale of a variety of succulents for the Nairobi market. Image is owned by www.shopnanjala.com. An e-commerce platform for designs, flora and thoughtful gifts.
Kiswahili: Kikapu hichi chapatikana kwa wingi hapa Kenya na si rahisi kwa wananchi wengi kujua kuwa kikapu hiki kina pendeza kwani maumbile yake yana umaarufu ya kitamaduni. Huwa zinashonwa kule, Turkana, Magharibi wa Kenya halafu zinaletwa huku Nairobi kwenye duka za watalii kama Maasai market na hata kuuzwa katika jiji kuu hapa Kenya. Hichi kikapu ni changu, huwa natumia kama kikapu cha takataka na sasa nimeitumia kuubeba mumea huitwa Christmas Cactus au Schlumbergera Cactus nilichokuwa na piga picha. Picha hii ni ya kutumia kwa mtandao ya www.shopnanjala.com. Hii mtandao itakuwa ikiuza vitu zilizoundwa kwa ustadi na umaarufu, mimea ya aina ya 'succulents' na aina za zawadi tofauti tofauti.
نسب العمل إلى مُؤَلِّفه – يلزم نسب العمل إلى مُؤَلِّفه بشكل مناسب وتوفير رابط للرخصة وتحديد ما إذا أجريت تغييرات. بالإمكان القيام بذلك بأية طريقة معقولة، ولكن ليس بأية طريقة تشير إلى أن المرخِّص يوافقك على الاستعمال.
الإلزام بترخيص المُشتقات بالمثل – إذا أعدت إنتاج المواد أو غيرت فيها، فيلزم أن تنشر مساهماتك المُشتقَّة عن الأصل تحت ترخيص الأصل نفسه أو تحت ترخيص مُتوافِقٍ معه.