1841
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | ►
◄◄ | ◄ | 1837 | 1838 | 1839 | 1840 | 1841 | 1842 | 1843 | 1844 | 1845 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1841 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 28 Januari - Henry Morton Stanley, mwandishi wa habari kutoka Welisi na Marekani aliyesafiri hasa Afrika Mashariki
- 25 Agosti - Emil Theodor Kocher (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1909)
- 8 Septemba - Antonín Dvořák, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 13 Novemba - Oreste Baratieri
- 20 Desemba - Ferdinand Buisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 4 Aprili - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 28 Aprili - Mtakatifu Peter Chanel, padre Mkatoliki na mfiadini kutoka Ufaransa
- 1 Juni - Nicolas Appert, Mfaransa