29 Aprili
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Aprili ni siku ya 119 ya mwaka (ya 120 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 246.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1670 - Uchaguzi wa Papa Klementi X
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1876 - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1893 - Harold Urey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1934
- 1899 - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1901 - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1916 - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
- 1941 - Yusef Komunyakaa, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1380 - Mtakatifu Katerina wa Siena, bikira na mwalimu wa Kanisa Mdominiko nchini Italia
- 1951 - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 1980 - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Katerina wa Siena, Tukiko, Torpesi, Severo wa Napoli, Hugo wa Cluny, Achadi wa Mt. Vikta, Antoni Kim Song-u n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |