Alberta
Alberta | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Calgary | ||
Eneo | |||
- Jumla | 661,848 km² | ||
Tovuti: http://www.alberta.ca/ |
Alberta ni jimbo la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1905.
Ina eneo la km² 661,848. Imepakana na Northwest Territories, Saskatchewan, Marekani (Montana) na British Kolumbia.
Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 3,632,483.
Mji mkuu ni Edmonton na mji mkubwa ni Calgary.
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]- Calgary (991,759)
- Edmonton (712,391)
- Red Deer (82,971)
- Lethbridge (78,713)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Alberta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |