Kitanglang

Kitanglang (pia Kitholo) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitanglang imehesabiwa kuwa watu 950. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitanglang iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitanglang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.