Mbili
Mbili ni namba ambayo inafuata moja na kutangulia tatu. Kwa kawaida inaandikwa 2 lakini II kwa namba za Kiroma na ٢ kwa zile za Kiarabu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group (1987): 70–71
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Number 2 Archived 1 Februari 2014 at the Wayback Machine.
- The Positive Integer 2
- Prime curiosities: 2
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |