Msikiti wa Taifa wa Abuja
Msikiti wa Taifa wa Abuja, pia unajulikana kama Msikiti wa Taifa wa Nigeria, ni msikiti mkubwa wa taifa nchini Nigeria, nchi yenye Waislamu wengi walio thabiti barani Afrika.
Msikiti huo ulijengwa mnamo mwaka wa 1984[1] na u wazi hata kwa umma ambao si Waislamu, kasoro katika sala za masheha tu.
Ustadhi Musa Mohammed ndiye imamu mkuu katika msikiti huu.[2]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Abuja National Mosque". ArchNet. Massachusetts Institute of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-26. Iliwekwa mnamo 2007-08-08.
- ↑ Ozoemena, Charles. "Sallah: Obasanjo hosts Atiku, others", Vanguard online, Vanguard Media Limited, 2005-11-03. Retrieved on 2007-08-08. Archived from the original on 2007-10-09.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Photographs of President Yar'Adua attending prayer at the mosque Archived 29 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala kuhusu msikiti au sehemu nyingine za kuabudia Waislamu bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |