Mto Simiyu
Chanzo | katika mbuga wa Serengeti |
Urefu | 1680 |
Kimo cha chanzo | 1135 m |
Tawimito upande wa kulia | Duma |
Mkondo | 0- 208 |
Eneo la beseni | 10800 km² |
Miji mikubwa kando lake | Magu Mjini |
Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.
Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.
Hidrometria
[hariri | hariri chanzo]Kiasi cha maji yanayopita katika mto huu unabadilika kimajira kutegemeana na kiasi cha mvua. Vipimo viko kama m³ / s (1999–2004).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya mito ya mkoa wa Arusha
- Orodha ya mito ya mkoa wa Simiyu
- Orodha ya mito ya mkoa wa Mwanza
- Mito ya Tanzania
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Simiyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |