Namba chanya
Namba chanya katika hisabati ni namba halisi ambayo ni kubwa kuliko namba sifuri (0).
Kinyume chake ni namba hasi. Kama namba chanya inawakilisha elekea kulia, nambahasi inamaanisha elekea kushoto. Kama namba chanya inawakilisha juu ya usawa wa bahari, basi nambhasi inawakilisha chini ya usawa wa bahari. Kama namba chanya inawakilisha kuweka, nambahasi inawakilisha kutoa.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Namba chanya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |