Oportuna
Oportuna (alifariki 22 Aprili 770) alikuwa bikira nchini Ufaransa, aliyeingia mapema katika monasteri ya Wabenedikto, iliyoongozwa na Lantildis, mtoto wa ndugu wa mzazi wake, alimrithi kama abesi akaongoza kwa upole mkubwa[1][2], ingawa mwenyewe alishika maisha magumu ya kujinyima sana [3][4].
Alikuwa pacha wa Krodegangi wa Seez.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jones, Terry. "Opportuna". Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-02-25.
- ↑ Rabenstein, Katherine (Aprili 1999). "Opportuna of Montreuil, OSB". Saints O' the Day for April 22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 6, 2007. Iliwekwa mnamo 2012-02-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ A Vita et miracula Sanctae Opportunae was written within a century of her death (ca 885-88) by Adalhelm (later rendered Adelin), bishop of Séez, who believed he owed his life and his see to Opportuna. Cfr. Julia M. H. Smith, "The Problem of Female Sanctity in Carolingian Europe c. 780-920" Past and Present No. 146 (February 1995), pp. 3-37.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/50340
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St. Opportuna from Butler's Lives of the Saints (Kiingereza)
- Sainte Opportune from the Diocese of Séez (Kifaransa)
- Den hellige Opportuna av Montreuil
- La Vie et Miracles de Ste Opportune Abbesse, by Nicolas Gosset, 1659 (first ed. 1654) (Kifaransa)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |