Orodha ya lugha za Kamboja
Orodha hii inahusu lugha za Kamboja:
- Kibrao
- Kicham-Magharibi
- Kihakka ya Kichina
- Kijarai
- Kikaco'
- Kikavet
- Kikhmer-Kati
- Kikraol
- Kikru'ng 2
- Kikuy
- Kilao
- Kilao-Phuon
- Kimnong-Kati
- Kipear
- Kisamre
- Kisa'och
- Kisomray
- Kistieng ya Bulo
- Kisuoy
- Kitampuan
- Kithai
- Kivietnam