Douala , Mji mkubwa nchini Bamenda Bafoussam Bangangté Jumba la kifalme Bafut Garoua Maroua Ziwa Bambili Kaélé, Boboyo Ziwa la mamba Yagoua Utamaduni wa Wum Yokadouma Jumba la kifalme la Mfalme Bell, Douala Orodha ya mjiji ya Kamerun inaonyesha miji nchini Kamerun pamoja na idadi ya wakazi wake kufuatana na makidirio ya mwaka 2021 . [ 1]
Mji Mkoa Wakazi (2021) Abong-Mbang Mkoa wa Mashariki 14,661 Ako Mkoa wa Kaskazini-Magharibi [ 1] Akonolinga Mkoa wa Kati 17,181 Ambam Mkoa wa Kusini 8,476 Bafang Mkoa wa Magharibi 80,688 Bafia Mkoa wa Kati 69,270 Bafoussam Mkoa wa Magharibi 290,768 Bafut (ufalme) Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 120,000[ 2] Bali Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 72,606 Bambili Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 5,641[ 3] Bamenda Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 393,835 Batibo Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 9,163 Bandjoun Mkoa wa Magharibi 6,872 Bangem Mkoa wa Kusini-Magharibi Banyo Mkoa wa Adamawa 40,798 Batouri Mkoa wa Mashariki 43,821 Bélabo Mkoa wa Mashariki 22,553 Bertoua Mkoa wa Mashariki 218,111 Buea Mkoa wa Kusini-Magharibi 47,300 Campo Mkoa wa Kusini Dimako Mkoa wa Mashariki 8,476 Dizangue Mkoa wa Pwani 19,243 Djoum Mkoa wa Kusini Douala Mkoa wa Pwani 1,338,082 Dschang Mkoa wa Magharibi 96,112 Ebolowa Mkoa wa Kusini 87,875 Edéa Mkoa wa Pwani 203,149 Fontem Mkoa wa Kusini-Magharibi 42,689 Foumban Mkoa wa Magharibi 92,673 Foumbot Mkoa wa Magharibi 84,065 Fundong Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 43,509 Garoua Mkoa wa Kaskazini 436,899 Garoua-Boulaï Mkoa wa Mashariki 46,615 Guider Mkoa wa Kaskazini 84,647 Kaélé Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 25,199 Kousséri Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 435,547 Kribi Mkoa wa Kusini 55,224 Kumba Mkoa wa Kusini-Magharibi 144,413 Kumbo Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 53,970 Limbé Mkoa wa Kusini-Magharibi 72,106 Loum Mkoa wa Pwani 177,429 Mamfe Mkoa wa Kusini-Magharibi 19,472 Manjo Mkoa wa Pwani 37,661 Maroua Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 319,941 Mbalmayo Mkoa wa Kati 80,206 Mbandjock (Mbandjok) Mkoa wa Kati 26,947 Mbanga Mkoa wa Kusini-Magharibi 42,590 Mbengwi Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 9,734 Mbouda Mkoa wa Magharibi 111,320 Meiganga Mkoa wa Adamawa 80,100 Melong Mkoa wa Pwani 37,086 Muyuka Mkoa wa Kusini-Magharibi 31,384 Nkoteng Mkoa wa Kati 50,334 Mokolo Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 275,239 Mora Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 55,216 Mutengene Mkoa wa Kusini-Magharibi 47,478 Nanga Eboko Mkoa wa Kati 29,909 Ngaoundéré Mkoa wa Adamawa 231,357 Nkongsamba Mkoa wa Pwani 117,063 Obala Mkoa wa Kati 30,012 Penja Mkoa wa Pwani 28,406 Sa'a Mkoa wa Kati 5,727 Sangmélima Mkoa wa Kusini 54,251 Tibati Mkoa wa Adamawa 35,589 Tiko Mkoa wa Kusini-Magharibi 55,914 Wum Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 68,836 Yaoundé (mji mkuu) Mkoa wa Kati 1,299,369 Yagoua Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 80,235 Yokadouma Mkoa wa Mashariki 13,287
↑ 1.0 1.1 "Kamerun" . GEO Names . Iliwekwa mnamo Mei 23, 2021 .{{cite web }}
: CS1 maint: date auto-translated (link ) ↑ "Baut Kingdom" . Bafutmanjongcalgary . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-23. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2021 . CS1 maint: date auto-translated (link ) ↑ Répertoire actualisé des villages du Cameroun. Troisième recensement général de la population et de l'habitat du Cameroun , Bureau central des recensements et des études de population, vol. 4, tome 7, 2005, Kigezo:P. [1] Archived 16 Desemba 2017 at the Wayback Machine . Orodha ya miji ya Afrika
Nchi huru Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine