Orodha ya mito ya Sudan
Mito ya Sudan ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Hindi au katika maziwa na mabonde ya ndani)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseni
[hariri | hariri chanzo]- Mto Atbarah
- Mto Mareb (Gash)
- Mto Obel (Setit)
- Mto Tekeze
- Mto Angereb (Angereb Mkubwa)
- Mto Mareb (Gash)
- Nile ya Buluu (Abay)
- Mto Atbarah
Jangwa la Sahara
[hariri | hariri chanzo]- Wadi Howar (mabaki ya Nile ya Njano)
Kwa utaratibu wa alfabeti
[hariri | hariri chanzo]Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
- Adar
- Adda
- Akobo
- Angereb (Angereb Mkubwa)
- Atbarah
- Bahr al-Arab
- Bahr al-Ghazal
- Barka
- Baro
- Dinder
- Howar (mabaki ya *Nile ya Njano)
- Ibrah
- Jur
- Lol
- Mareb (Gash)
- Nile Nyeupe
- Nile ya Buluu (Abay)
- Nile
- Obel (Setit)
- Pibor
- Rahad
- Sobat
- Tekeze
- Umbelasha
- Yabus