Pembe (anatomia)

Pembe ya mzunguko la mbuzi

Pembe ni miundo myenye mifupa inayoonekana juu ya vichwa vya wanyama kama kondoo, twiga au mbuzi. Pembe pia zinaonekana kama meno mikubwa ya ndovu au walarasi. Hata baadhi ya wadudu huwa na pembe, k.m. chonga.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembe (anatomia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.