Uislamu nchini Malawi

Msikiti mjini Zomba.
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Malawi ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo.

Karibia Waislamu wote wa Malawi ni wafuasi wa dhehebu la Sunni.[1]Japokuwa ni vigumu kukadiria,[2] kwa mujibu wa CIA Factbook, mnamo mwaka wa 2008 karibia asimilia 12.8 ya idadi ya wakazi nchini humo ni Waislamu;[3] kiasi kidogo kama hicho kimekataliwa na jumuia za Kiislamu nchini humo,[4] ambao wamelalamikia ya kwamba kiasi halisi ni asilimia 30-35 (ambacho kilielezewa kama "fikra za kujitakia").[5]

Kwa mujibu wa Mradi wa Dini wa Malawi[6] unaoendeshwa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania, mnamo 2010 makadirio ya idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 25, imetazamiwa hasa katika maeneo ya Mkoa wa Kusini.[7]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (tol. la illustrated). Mzuni Press. ku. 180–1. ISBN 9789990802498.
  2. Arne S. Steinforth (2009). Troubled Minds: On the Cultural Construction of Mental Disorder and Normality in Southern Malawi. Peter Lang. uk. 79. ISBN 9783631587171.
  3. "CIA statistics". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2016-05-12.
  4. Owen J. M. Kalinga (2012). Historical Dictionary of Malawi (tol. la revised). Rowman & Littlefield. uk. 202. ISBN 9780810859616.
  5. Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (tol. la illustrated). Mzuni Press. uk. 213. ISBN 9789990802498.
  6. "The Malawi Religion Project (MRP) | Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH)". Malawi.pop.upenn.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. HANS-PETER KOHLER. "Cohort Profile: The Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH)". Repository.upenn.edu. Iliwekwa mnamo 2016-02-09.

Jisomee zaidi

[hariri | hariri chanzo]
  • Ian D. Dicks (2012). An African Worldview: The Muslim Amacinga Yawo of Southern Malaŵi. African Books Collective. uk. 510. ISBN 9789990887518.