Wilaya ya Nyeri
Wilaya ya Nyeri | |
Mahali pa Wilaya ya Nyeri katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Nyeri |
Eneo | |
- Jumla | 2,361 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 693,558 |
Wilaya ya Nyeri ilikuwa wilaya mojawapo ya mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Nyeri.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyeri.
Wilaya hiyo ilikuwa na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 3,356 [1] katika maeneo ya kusini mashariki mwa Mlima Kenya.
Ilikuwa na jumla ya wakazi 661,156. Wenyeji ni haswa wa kabila la Wakikuyu.
Serikali za Mitaa
[hariri | hariri chanzo]Serikali ya Mitaa | Aina | Idadi ya Watu | Wakaazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Nyeri | Manispaa | 98,908 | 46,969 |
Karatina | Manispaa | 6,852 | 6,852 |
Othaya | Mji | 21,427 | 4,108 |
Nyeri county | Baraza la mji | 533,969 | 10,047 |
Maeneo ya utawala
[hariri | hariri chanzo]Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Kieni east | 83,635 | 2,643 | Naro Moru |
Kieni west | 68,461 | 5,017 | Mweiga |
Mathira | 150,998 | 6,275 | Karatina |
Mukurwe-ini | 87,447 | 1,525 | Kiahungu |
Nyeri municipality | 101,238 | 40,497 | Nyeri |
Othaya | 88,291 | 3,846 | Othaya |
Tetu | 80,100 | 0 |
Maeneo Bunge
[hariri | hariri chanzo]Wilaya hii ina maeneo bunge sita:
- Eneo Bunge la Tetu
- Eneo Bunge la Kieni
- Eneo Bunge la Mathira
- Eneo Bunge la Othaya
- Eneo Bunge la Mukurweini
- Eneo Bunge la Nyeri Town