Yangeyange (jenasi)
Yangeyange | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Yangeyange (Bubulcus ibis) | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Jenasi 4:
|
Yangeyange ni ndege wakubwa wa jenasi mbalimbali ya nusufamilia Ardeinae katika familia Ardeidae wenye miguu mirefu, shingo ndefu na domo refu na jembamba. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa ni weupe au weusi au rangi hizi mbili (pengine kijani au buluu). Spishi nyingine huitwa kulasitara au dandala. Yangeyange wengine hupenda kula samaki, wengine hula wadudu na wanyama wadogo kama vyura, mijusi na panya. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya miti, mitete au mafunjo.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Ardeola idae, Yangeyange wa Madagaska (Madagascar Pond Heron)
- Ardeola ralloides, Yangeyange Njano (Squacco Heron)
- Ardeola rufiventris, Yange Tumbo-jekundu (Rufous-bellied Heron)
- Bubulcus ibis, Yangeyange au Yange Fuatang’ombe (Western Cattle Egret)
- Egretta ardesiaca, Kulasitara (Black Heron)
- Egretta dimorpha, Yange-pwani (Dimorphic Egret)
- Egretta garzetta, Dandala (Little Egret)
- Egretta gularis, Yange Koo-jeupe (Western Reef Heron)
- Egretta g. gularis, Yange Koo-jeupe Magharibi (Wester African Reef Heron)
- Egretta g. schistacea, Yange Koo-jeupe Mashariki (East African Reef Heron)
- Egretta vinaceigula, Yangeyange Mweusi (Slaty Egret)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Agamia agami (Agami Heron)
- Ardeola bacchus (Chinese Pond Heron)
- Ardeola grayii (Indian Pond Heron)
- Ardeola speciosa (Javan Pond Heron)
- Bubulcus coromandus (Eastern Cattle Egret)
- Egretta caerulea (Little Blue Heron)
- Egretta novaehollandiae (White-faced Heron)
- Egretta rufescens (Reddish Egret)
- Egretta sacra (Eastern Reef Egret)
- Egretta thula (Snowy Egret)
- Egretta tricolor (Tricolored or Louisiana Heron)
- Pilherodius pileatus (Capped Heron)
- Syrigma sibilatrix (Whistling Heron)
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Yangeyange wa Madagaska
- Yangeyange njano
- Yange tumbo-jekundu
- Yange fuatang'ombe
- Kulasitara
- Yange-pwani (maumbile kijivu)
- Dandala
- Yange koo-jeupe
- Yangeyange mweusi
- Agami heron
- Chinese pond heron
- Indian pond heron
- Javan pond heron
- Eastern cattle egret
- Little blue heron
- White-faced heron
- Reddish egret
- Eastern reef egret
- Snowy egret
- Tricolored heron
- Capped heron
- Whistling heron