2015
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 2011 | 2012 | 2013 | 2014 | 2015 | 2016 | 2017 | 2018 | 2019 | ► | ►►
Jan. | Feb. | Mac. | Apr. | Mei | Jun. | Jul. | Ago. | Sep. | Okt. | Nov. | Des.
Makala hii inahusu mwaka 2015 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 6 Februari - André Brink, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 14 Februari - Philip Levine, mshairi kutoka Marekani
- 27 Februari - Boris Nemtsov, mwanasiasa kutoka Urusi
- 28 Februari - John Damiano Komba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 14 Mei - Franz Wright, mshairi kutoka Marekani
- 7 Juni - Christopher Lee, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 11 Juni - Ornette Coleman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Julai - James Tate, mshairi wa Marekani
- 12 Septemba - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Septemba - C. K. Williams, mshairi kutoka Marekani
- 4 Oktoba - Christopher Mtikila, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 10 Oktoba - Richard Heck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2010
- 18 Desemba - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 23 Desemba - Alfred Gilman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994