31 Januari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Januari ni siku ya thelathini na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 334 (335 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1673 - Mtakatifu Alois Maria wa Montfort, padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1797 - Franz Schubert, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1868 - Theodore William Richards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1914
- 1881 - Irving Langmuir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932
- 1923 - Norman Mailer, mwandishi kutoka Marekani
- 1929 - Rudolf Moessbauer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
- 1935 - Kenzaburo Oe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1994
- 1956 - John Lydon, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 1981 - Justin Timberlake, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1885 - Yusufu Lagamala, Mark Kakumba na Noah Seruwanga, Waanglikana wafiadini wa kwanza wa Uganda
- 1888 - Mtakatifu John Bosco, padri na mlezi kutoka Italia
- 1933 - John Galsworthy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1932
- 1955 - John Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Bosco, Vitorino, Vikta na wenzao, Metras, Siro na Yohane, Jiminyano wa Modena, Abrahamu wa Arbela, Julius wa Novara, Marsela wa Roma, Aidani wa Ferns, Valdo wa Evreux, Eusebi wa Viktorsberg, Fransisko Saveri Maria Bianchi, Augustino Pak Chongwon na wenzake n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |