333 KK
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 5 KK | Karne ya 4 KK | Karne ya 3 KK | ►
◄ | Miaka ya 350 KK | Miaka ya 340 KK | Miaka ya 330 KK | Miaka ya 320 KK | Miaka ya 310 KK | ►
◄◄ | ◄ | 336 KK | 335 KK | 334 KK | 333 KK | 332 KK | 331 KK | 330 KK | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 333 KK (Kabla ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Ugiriki wa Kale / Uajemi[hariri | hariri chanzo]
- Aleksander Mkuu anaendelea na vita katika Anatolia dhidi ya Uajemi. Anafungua fundo la Gordion kwa kuikata.
- Novemba - Mapigano ya Issos, Aleksander anashinda jeshi la Mfalme Mkuu Darius III wa Uajemi. Mfalme anakimbia lakini mke na watoto wake wanakamatwa na Wagiriki.
Roma ya Kale[hariri | hariri chanzo]
- Publius Cornelius Rufinus anachaguliwa kuwa dikteta wa jamhuri ya Roma.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- Zenon wa Kition ni mwanafalsafa Mgiriki na mwanzisilishaji wa falsafa ya stoa († 264 KK)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- Memnon wa Rhodos aliyekuwa jemadari Mgiriki wa kukudoshwa