Hans Fischer
Hans Fischer (27 Julai 1881 – 31 Machi 1945) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alijihusisha na rangi, k.m. rangi za mimea (klorofili), za damu na za nyongo. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hans Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |