Navassa
Navassa ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti ambacho kinadaiwa na nchi hiyo tangu mwaka 1801 kuwa ni chake lakini kinatawaliwa na Marekani tangu mwaka 1857.[1][2][3][4]
Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 5.4 lakini hakina wakazi wa kudumu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ An America Territory in Haiti Archived 2015-02-03 at Archive.today, Posted September 29, 2011, CNN iReport
- ↑ Serge Bellegarde (Oktoba 1998). "Navassa Island: Haiti and the U.S. – A Matter of History and Geography". windowsonhaiti.com. Iliwekwa mnamo Februari 6, 2008.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Haiti: Constitution, 1987 (English translation)".
- ↑ Rohter, Larry (Oktoba 19, 1998). "Whose Rock Is It? Yes, the Haitians Care". Port-au-Prince Journal. The New York Times. Iliwekwa mnamo Januari 28, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- The Navassa Island Riot. Illustrated. Published by the National Grand Tabernacle, Order of Galillean Fishermen, Baltimore, Md.
- Fabio Spadi (2001). "Navassa: Legal Nightmares in a Biological Heaven?". IBRU Boundary & Security Bulletin. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-22.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wikimedia Atlas of Navassa Island
- State Of Navaza Archived 11 Julai 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Navassa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |