Mto Didessa

Ramani ya beseni la mto Abay.

Mto Didessa unapatikana magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Abay, nalo linapokea kwanza maji ya mto Enareya, mto Aet, mto Wama, mto Angar na mto Dobana.

Beseni lake linaenea katika kilometa mraba 19,630.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Didessa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.