Mto Tengeru

Mto Tengeru ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]