Maine
Maine | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Augusta | ||
Eneo | |||
- Jumla | 91,646 km² | ||
- Kavu | 79,931 km² | ||
- Maji | 11,715 km² | ||
Tovuti: http://www.maine.gov/ |
Maine ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na New Hampshire (Hampshire Mpya), New Brunswick na Quebec katika Kanada. Upande wa mashariki kuna pwani la Atlantiki.
Jimbo lina wakazi wapatao 1,316,456 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 86,542.
Mji mkuu ni Augusta. Miji miwili mikubwa ya jimbo ni Portland na Lewiston.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) State of Maine Official Website
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |