Nevada
Nevada | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Carson City | ||
Eneo | |||
- Jumla | 286,351 km² | ||
- Kavu | 284,448 km² | ||
- Maji | 1,903 km² | ||
Tovuti: http://www.nv.gov/ |
Nevada ni jimbo la Marekani upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu ni Carson City na mji mkubwa ni Las Vegas. Imepakana na Oregon, Idaho, Utah, Arizona na California.
Jimbo lina wakazi wapatao 2,600,167 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 286,367.
31 Oktoba 1864 Nevada ikawa jimbo la 36 la Marekani.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |