South Carolina
[[Picha: :Charlestonhome.jpg|thumbnail|right|280px|Sehemu ya Jimbo la South Carolina]]
South Carolina Palmetto State | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Columbia | ||
Eneo | |||
- Jumla | 82,932 km² | ||
- Kavu | 77,983 km² | ||
- Maji | 4,949 km² | ||
Tovuti: http://www.sc.gov/ |
South Carolina (Karolina ya Kusini) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini-mashariki ya Marekani bara. Imepakana na North Carolina, Georgia na Bahari ya Atlantiki.
Mji mkuu pia mji mkubwa wa jimbo ni Columbia. Kati ya miji mingine yenye maana ni Charleston, Greenville, Spartanburg, Anderson, Sumter, and Florence.
South Carolina ilikuwa koloni ya Uingereza tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.`
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu South Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |